Willy Onana ajiunga CS Sfaxien


Ni rasmi Winga Will Essomba Onana Leo hii Ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Klabu ya Sc Faxien ya Tunisia kwa Mkataba Wa miaka 3,

Onana amewahi kuzichezea Simba,Al Ahly Benghazi ya Libya na sasa atacheza ligi kuu Nchini Tunisia.