Simba Queens yakamilisha usajili wa wachezaji 10 balaa

Klabu ya Simba Queens itaingia kambini tarehe 15 mwezi huu kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26.

Hadi sasa Simba Queens imekamilisha usajili wa wachezaji ambao ni ;

1. Zainah Nadende (Uganda)
2. Elizabeth Nashoni (Tanzania)
3. Elizabeth Mkuki (Tanzania)
4. Ruth Aturo (Uganda)
5. Zawadi Usanase(Rwanda)
6. Cynthia Musungu (Kenya)
7. Fasila Adhiambo (Kenya)
8. Neema Mtunzi (Tanzania)
9. Asha Omary (Tanzania)
10. Magnifique Umutesiwase (Rwanda) huyu Kuna asilimia kubwa ya kuvunjiwa mkataba baada ya urejeo wa Jentrix Shikangwa.

Wengine wawili Beki wa Kati ambaye ana uzoefu mkubwa toka Nigeria pamoja na kiungo mkabaji toka Cameroon (nitawaweka wazi hivi karibu).

Kama nilivyowakataa mwaka jana baada ya kufanya tasmini yangu na kutoridhishwa na sajili walizofanya msimu uliopita hasa zile 3 toka Yanga Princess basi vivyo hivyo msimu huu nimekubali sajili za na niweke wazi tu kuwa Simba Queens msimu huu itakuwa ya moto mno.