Yanga na Casemilo deal done

Yanga wamemtambulisha kiungo mkabaji wa Mlandege,Abdulnassir Mohammed Abdallah,maarufu Kama “Casemiro” kwa mkataba wa miaka mitatu.

Yanga wameshinda vita ya kumnasa kiungo huyo mbele ya Azam Fc,JKT na Singida.