Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano na klabu ya JKT Tanzania katika uhamisho wa mlinzi wa kati Wilson Nangu ambae atajiunga na Klabu ya Simba SC Kwa mkataba wa Miaka miwili.
Klabu ya Simba SC ilishamaliza makubaliano rasmi ya kimaslahi June 28, 2025 na mlinzi wa kati Wilson Nangu, amekubali kujiunga na miamba ya soka Nchini Simba SC.