TIMU ya beki wa kati wa Yanga, Dickson Job imeibuka na ushindi wa mabao 4-3 kwa mikwaju ya penalti baada ya kufungana bao 1-1 na Team Kibwana mchezo wa kirafiki uliofanyika hii leo.
Team Kibwana ilitangulia kupata bao kupitia Nassor Saadun dakika ya 39 kabla ya dakika ya 52 Team Job kusawazisha kupitia kwa Dickson Job kwa mkwaju wa penalti.
Mchezo huo wa kirafiki ulihisaniwa na taasisi ya
WAPE TABASAMU.