Tanzania Prisons kumrudisha Hamad Ally nyumbani


Kuna asilimia kubwa ya kocha Ahmad Ally kuondoka ndani ya JKT Tanzania baada ya msimu 2024/25 kumalizika.

Sababu kubwa ikiwa maslahi na mahitaji ya usajili wa wachezaji wapya ndani ya timu hiyo.

Timu yake ya zamani Tz Prisons imeonesha nia ya kutaka kumrudisha Mbeya kufanya tena kazi.

Kama mambo yataenda vizuri baina ya Tz Prisons na menejimenti yake basi ataondoka JKT Tanzania.