Mchana wa leo Simba wamekamilisha usajili wa winga hatari wa Ivory Coast na klabu ya Haras El Hodoud ya Misri,Mofossé Karidioula (27).
Nyota huyo aliwahi kupita ASEC Mimosas kabla ya kwenda Misri,na sasa atavaa uzi wa Simba.
Kila kitu kimekamilika Mofossé Karidioula is Red