Golikipa wa Al Hilal Omduman Issa Fofana amewasili Jijini Dar es Salaam siku ya jana akitokea nyumbani kwao..
Issa Fofana anahusishwa kujiunga na mnyama Simba baada ya Simba kuachana na wagolikipa wake Aishi Manula na Ayubu Lackred Mnyama anampango wa kuongeza nguvu kwenye eneo ilo.
Kama mazungumzo yataenda vizuri huwenda Fofana akavaa jezi ya mnyama msimu ujao.