MO aanza usajili, Hussein Semfuko apewa miaka miwili Simba


Simba wamekamilisha usajili wa kiungo wa Coastal Union Raia wa Tanzania ,Hussein Semfuko (21) kwa mkataba wa miaka miwili

Kıla kitu kimekamilika Hussein Semfuko ni mali ya Simba msimu ujao