Taarifa za awali nilizopata kutoka katika vyanzo vyangu wa karibu kuhusu Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Azam FC, Lusajo Mwaikenda, wawakilishi wake wamefanya mazungumzo na Klabu ya Simba kuangalia namna ya kumpata Mlinzi huyo.
Bado Kuna ugumu wa kumpata Nyota huyo kwasababu Klabu hiyo bado inahitaji hudama yake ingawa mchezaji mwenyewe anatamani kuondoka Klabuni hapo ili akatafute changamoto sehemu nyingine.
Bado mazungumzo yanaendale kati ya wasimamizi wa mchezaji na uongozi wa Azam FC ili kumwachia Nyota huyo kwenda kutafuta changamoto sehemu mpya.