Lomalisa anukia Azam FC

Hivi sasa imefikia asilimia 80 kwa aliyekua beki wa kushoto wa Yanga SC Joyce Lomalisa Mutambala kujiunga na Azam FC kwani mezani kapewa ofa nono na matajiri wa Chamazi.

Azam FC safari hii nguvu kubwa ya usajili wameweka kwa wachezaji wa kigeni wenye ubora na uzoefu wa mashindano ya Kimataifa.