Kiungo mpya Yanga ashinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu

Kiungo mpya wa Yanga SC, Abdulnassir Mohamed " Casemiro " ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora Kijana kwa msimu uliomalizika akiitumikia Mlandege FC

Tuzo hiyo ya Mchezaji Bora Kijana imetolewa na Farafa Sports Awards kutoka Zanzibar, Yanga SC imeshakamilisha usajili wake