Uongozi wa klabu ya Dodoma Jiji umefanikiwa kumsajili Kocha raia wa Congo Dr Kiazayidi Makiadi Anicet ambaye alikuwa Tabora United tayari Mkataba umesainiwa bado utambulisho tuu.
Makiadi anakumbukwa alivyokuwa Tabora United alifanikiwa kuichakaza Yanga mabao 3-1 na kusababisha Yanga kumtimua kocha wake Miguel Gamondi.