Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Coastal Union ya Tanga Hamad Majimengi amejiunga na timu ya Mbeya City iliyopanda daraja na itacheza Ligi Kuu bara msimu ujao.
Majimengi aliyewahi
Singida Black Stars na Pamba Jiji amejiunga na klabu ya Mbeya City kwa mkataba wa mwaka mmoja