Gamondi amvuta Mkude Singida Black Stars

Kiungo Jonas Mkude anakaribia kujiunga na Singida Black Stars akitokea Young Africans SC

Mkude amemaliza mkataba wake na Wananchi ambao ulikuwa wa mwaka mmoja na kocha Miguel Gamondi anahitaji huduma yake.