Fiston Mayele azitosa Mamelodi, Kaizer na kutua Saudi Arabia


Baada ya kuvutia mno Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs, mshambuliaji hatari raia wa DR Congo Fiston Mayele amejiunga rasmi na klabu ya Al Fateh ya Saudi Arabia!.

Bonus+Mshahara, Fiston Mayele atapokea Billion 04 kwa mwaka (kwa thamani ya pesa za Tanzania