Deborah Fernandez na Leonel Ateba,hawako salama kwenye project mpya ya Simba.
Simba wako sokoni kutafuta mbadala wao na Kama watafanikiwa nyota hao watapewa Thank You!
Nyota wa kigeni ambao hawagusiki Msimbazi ni Pin Pin Camara, Jean Ahoua, Mukwala, Mutale na Mpanzu