Baada ya miaka mitano ya utumishi kwa wana Kinondoni hatimaye Andrew Vicent Chikupe ameachana rasmi na KMC,Tayari amewaaga,Amewashukuru wanakinodnoni na kuwatakia kila la kheri.
Mlinzi huyu alijiunga na KMC miaka mitano iliyopita akitokea Young Africans.