Coulibaly aitosa Simba


Dili la beki wa kati Souleymane Coulibaly na Simba SC limekufa rasmi baada ya kushindwa kufikia makubaliano kutokana na maslahi anayohitaji mchezaji

Souleymane Coulibaly ameanza safari ya kurudi nchini Ivory Coast kwaajili ya kusubiri ofa za timu zingine.