Camara akubali kubaki Simba

Klabu ya Simba SC na Golikipa Moussa Camara wamefikia makubaliano ya kuendelea kufanya kazi kuelekea msimu ujao

Proposal ya mkataba imepokelewa na Golikipa Moussa Pinpin Camara na atasaini mkataba mpya

Camara alihusishwa kutaka kujiunga na timu ya Al Masry ya Misri na aliwasilisha taarifa ya kutaka kuondoka kwenye Klabu hiyo.