Azam FC yamgeukia Chama


Baada ya kumaliza Mkataba wa wa mwaka mmoja ndani ya Yanga SC sasa ni Mchezaji huru na mpaka sasa hakuna Mazungumzo na Wananchi ya kiungo huyo kuendelea kusalia klabuni Hapo.

Azam FC inaelezwa wameingia miguu yote miwili kuhitaji huduma ya kiungo huyo Maestro kutua viunga vya Chamazi mpaka sasa maongezi yaneanda vizuri ya Chama Kujiunga na Azam FC.