Azam FC balaa, yamtambulisha Jephte Kitambala

Azam FC wamekamilisha usajili wa Jephté Kitambala Bola (26) kutoka AS Maniema Union ya Congo DR.

Jephté Kitambala Bola Ni mshambuliaji wa mwisho mwenye njaa ya kufunga magoli.

Namba tisa huyo amewahi kupita TP Mazembe.

Kıla kitu kimekamilika Kitambala ni mali ya Azam FC,na kocha Ibenge amehusika pakubwa sana.