Taarifa za awali ni kwamba, Yanga SC walipanga kumsajili Ibrahima Keita kutoka TP Mazembe ili aje kusaidiana na Israel Mwenda kwenye nafasi ya RB kisha Yao Kouassi jina lake lingeingizwa kutumika kwenye michuano ya Afrika (CAF CL).
Yao anaendelea na recovery, na ripoti zinadai dili la Yanga SC na Traore limekufa hivyo matarajio kwasasa ni kuangalia maendeleo ya Yao Kouassi kwaajili ya msimu mpya 2025/26.
Maamuzi haya yanachagizwa na uwepo wa full backs wenye ubora kama Kibwana Shomary & Israel Mwenda lakini pia kubakishwa kwa baadhi ya nyota wa kigeni ambao awali walitarajiwa kuachwa kumechangia dili hilo kufa ili ku maintain idadi ya pro kwenye kikosi