Ateba kuvunja mkataba na Simba, Che Fondoh Malone akataliwa na Fadlu

Kuna tetesi nimeipata kuhusu viongozi wa Simba SC wapo kwenye mazungumzo na mshambuliaji Leonel Ateba ili kusitisha mkataba wake

Pia Fadlu Davids amewaeleza viongozi kuwa anahitaji Che Malone waachane nae na watafute beki mwingine wa kati haraka sana kabla ya preseason kuanza.