Arajiga, Hamdani wateuliwa CAF

Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga na Hamdani Said wameteuliwa na CAF kuchezesha fainali za CHAN 2024 zitakazofanyika Tanzania, Kenya na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025