Wachezaji wa timu ya Tabora United leo wamegoma kusafiri kwa ajili ya mechi yao dhidi Azam FC, Wachezaji wa Tabora Utd wanadai mishahara yao ya miezi miwili pamoja na Posho.
Tabora Utd walikuwa wanasafiri leo kuja Dar Es Salaam kwa ajili ya
mchzo wao dhidi ya Azam FC.