Kuna baadhi ya viongozi wamekubali kufuata ratiba iliowekwa na Bodi ya Ligi ya NBC kucheza mchezo wa derby tarehe 25,
Pia kuna kundi lingine pamoja na muwekezaji wanataka kuipeleka kesi kwenye mahakama ya CAS ili kupata haki sahihi
Kundi hilo la pili linaamini kuwa kesho ikienda mahakama ya CAS watashinda kwa factor ya serikali imeingilia mamlaka ya mpira Tanzania,
Mpaka sasa hivi bado wanavutana ni nini wachague kwenye hayo maamuzi mawili,
Wacheze derby au wagome waende CAS kutafuta haki yao.
Kikao bado kinaendelea, tusubirie maamuzi ya uongozi wa Simba SC watakuja na lipi leo.