Tshabalala akataa milioni 200 za Simba

Nahodha wa Simba SC Mohamed Hussein Tshabalala ameikataa ofa ya kwanza Ili kusalia kwenye kikosi hicho kwa mkataba wa miaka miwili.

Tshabalala ameigomea ofa hiyo ya shilingi milioni 200 huku kambi inadai wanataka milioni 300 na apewe mkataba wa mwaka mmoja.