" Nikweli tumetoa mapumziko ya siku mbili kwa wachezaji kuanzia Jumamosi hadi Jumapili, Jumatatu timu itatakiwa kurejea haraka kambini tayari kwa maandalizi ya kuikabili KenGold."
Dokta wa Timu ."Hatuna majeruhi, wachezaji wote wamerudi kwenye uwanja wa mazoezi, kilichobaki kocha kuamua nani amtumie kwa mchezo ulio mbele yetu."
"Moussa Camara, Mzamiru Yassin na Valentino Nouma wote wamerejea kwenye hali zao za utimamu na wameshaanza mazoezi, hivyo hatuna majeruhi hata mmoja,” amesema dokta huyo .