Klabu ya Police FC inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Kenya imetwaa Ubingwa wa Kombe la Ligi Kuu Nchini humo baada ya kushinda kwa bao 1-0 dhidi ya Shabana FC.
.
Police FC inaongozwa na Kocha wa zamani wa Azam FC,Mbao FC, KMC na Taifa Stars, Ettiene Ndiyarigije.