Kiungo Chipukizi Laurent Haji ameonekana akiwa sehemu ya mazoezi na timu ya wakubwa ya YangaSc
Ikumbukwe kinda huyu ndiye mchezaji bora wa ligi ya vijana chini ya miaka 17 msimu uliopita,kwa mara ya kwanza msimu huu alipandishwa U20 na kucheza ligi ya vijana msimu huu
Hivi sasa amejumuishwa kwenye team ya wakubwa kuendelea kupata uzoefu zaidi ili aweze kuwa bora