Jemedari Saidi amvaa Nape na kugombea ubunge

Mchambuzi nguli wa vipindi vya michezo Jemedari Saidi Kazumari ametangaza kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi, CCM katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi.

Kazumari ambaye ni mchambuzi wa redio ya Crown FM, anamvaa aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Nape Moses Nnauye.