Fofana kuchukua nafasi ya Camara, Simba

Klabu ya Simba wameonyesha kuvutiwa zaidi na golikipa namba moja wa klab ya Al Hilal ya Sudan, Issa Fofana (21). Simba Sc wanafahamu Mkataba wake unaisha June 30 mwaka huu, hivyo lazima wawe na ushawishi bora zaidi Japo viongozi wao wanahofia zaidi Upande wa maslahi binafsi ya mchezaji kuwa nje ya uwezo wao.