Florent Ibenge kocha mpya Azam FC

Muda wowote kuanzia sasa Florent Ibengé (63) atatangazwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC.

Muda huu Ibenge yuko nchini kukamilisha taratibu zote.

Maisha ya Rachid Taoussi yamefika mwisho ndani ya Azam FC