Chivaviro atupiwa virago Kaizer Chiefs

Rasmi Kaizer Chiefs wamethibitisha kuachana na Mshambuliaji wao Ranga Chivaviro ambaye mkataba wake umemalizika msimu huu,

Chivaviro alijiunga na Kaizer Chiefs akitokea Marumo Gallants.

Chivaviro akiwa na Kaizer Chiefs kwa misimu miwili amecheza mechi 45 na kufunga Jumla ya Magoli 9 na Assist 1.