APR yampa mikoba ya ukocha Abderrahom Telab tarehe Juni 17, 2025 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Klabu ya APR FC imetangaza kumwajiri Abderrahim Telab mwenye umri wa miaka 61 kuwa Kocha Mkuu mpya wa Klabu hiyo..Telab anakumbukwa kwa kuisaidia Wydad Casablanca kubeba Ubingwa wa Klabu Bingwa Barani Afrika mwaka 2022.