Ally Mayai kumrithi Karia, TFF

Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 16,08,2025 mkoani Tanga
‎Uchaguzi huo ukilenga
‎Urais wa shirikisho nafasi 1
‎Wajumbe wa kamati tendaji nafasi 6
‎Miongoni mwa watu ambao wanatarajiwa kuchukua fomu ya Urais ni Ally Mayai ambaye ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa na muendelezo wa kuhitaji nafasi hiyo zaidi ya mara moja
‎Ikumbukwe Uchaguzi uliopita Ally Mayai alijaribu nafasi hiyo lakini mwisho wa siku alikosa sifa na kumfanya Wallace Karia kuwa mgombea pekee kwenye nafasi hiyo

Fomu zitaanza kutolewa kuanzia leo siku ya Jumatatu tarehe 16 hadi tarehe 20 mwezi huu wa 6.