Yanga yatua na ndege mjini Tabora tayari kuilipa kisasi kesho

Kikosi cha timu ya Yanga SC kimetua na ndege kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu bara dhidi ya Tabora United utakaofanyika kesho kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

Wachezaji wa Yanga wameonekana kuwa na hali na mchezo huo kwani kamera yetu imewanasa miongoni mwa wachezaji .