“Mgeni maalumu wa mchezo wetu wa robo fainali dhidi ya Al Masry ni Mjumbe wa Kamati Utendaji ya CAF, Rais wa CECAFA na Rais wa TFF, Wallace Karia.
Tuna kila sababu ya kumpa nafasi hii kwa kutambua mchango wake. Tunatambua, tunaheshimu mchango wa Wallace Karia kwenye mpira wa Tanzania. Simba SC kufika nafasi ya sita kwa ubora Afrika ni katika uongozi wa wake.”- Semaji Ahmed Ally kwenye uzinduzi wa kispika