Wachezaji wa Simba wakiwa uwanja wa Suez canal nchini Misri

Wachezaji wa Simba wakiwa kwenye uwanja wa Suez canal nchini Misri ambapo kesho usiku itakutana na Al Masr mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika.