Simon Msuva atakata Al Talaba

Nyota wa Tanzania, Simon Msuva amefunga bao moja akiisaidia timu yake ya Al Talaba kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Hudod katika mchezo wa Ligi Kuu ya Iraq