Pilato wa Simba na Stellenbosch ni mnyama mtupu tarehe Aprili 14, 2025 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Simba SC hajawahi kupoteza michezo minne ya mwisho ambayo refa ni Jean Jacques Ndala. Ameshinda mitatu (3) na kutoa sare moja (1).Ndala atakuwa refa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na Stellenbosch FC.