Kipa wa Singida Black Stars arejea kikosini

Mlinda wa klabu ya Singida Black Star raia wa Nigeria Amas Obasogie amerejea kikosini baada ya kumaliza majukumu ya taifa lake la Nigeria.

Amas tayari amejiunga na matajiri hao wa arizeti wanaojiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Klabu ya Fountain Gate leo