“Ukiingia kwenye mpira kuwa tayari kwa lolote, usiingie kwenye mpira alafu ukajificha kwenye kivuli chako cha wazfa.”
“Ukiingia kwenye mpira kuwa tayari kwa utani wa mpira, kama unakofia nyingine wewe ivue ingia kwenye mpira, usitake kuingia kwenye mpira alafu unataka kujilinda kwa kofia yako nyingine.”
“Mkuu wa mkoa wa Tabora kuna kauli zake alizitoa kwa Yanga, Yanga wakasemee wapi, kwa mfano alisema kuwa anajua Yanga watakuja na kiherehere wakasemee wapi.”
“Kama swala la yeye kujibiwa ndo linamfanya Ally kamwe kushikiliwa ni heri hawa watu wasije kwenye mpira, kama wewe unatania watu alafu ukijibiwa unatumia kofia yako nyingine ni heri ukaachana na mpira.” - George Job