Mtandao wa Africa Facts Zone umetoa orodha ya Wachezaji Wanaolipwa zaidi katika Ligi za Afrika kila Mwaka kupitia kurasa wao wa Twitter (X) huku kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Stephane Aziz Ki akishika nafasi ya 4 katika orodha hiyo.
Misri - Ali Maaloul | $1.5 milioni | Al Ahly
Afrika Kusini - Ronwen Williams | $320,000 | Mamelodi Sundowns
Angola - Tiago Azulão | $263,000 | Petro de Luanda
Tanzania - Stephane Aziz Ki | $240,000 | Young Africans SC
Rwanda - Richmond Lamptey | $120,000 | APR FC
Zimbabwe - Khama Billiat $72,000 | Scotland FC
Nigeria - Sikiru Alimi $10,163 | Remo Stars
Eswatini - Neliswa Dlamini| $7,672 | NsAFRIKA FC