Timu ya KenGold imeshindwa kuutumia vema uwanja wa nyumbani baada ya kufungwa mabao 2-0 na Azam FC mchezo wa Ligi Kuu bara.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na Gibrili Sillah dakika ya 29 na Nassor Saadun dakika ya 41, kwa matokeo hayo Azam FC imefikisha pointi 51 lakini itaendelea kushika nafasi ya tatu.