TAARIFA zilizonifikia ni kwamba, klabu ya Al Masry wamepanga Kutumia uwanja wa JKT Tanzania wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi wakiwa wanajiandaa na mchezo wa marudiano wa robo fainal kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba SC.
Al Masry watautumia uwanja huo Ili kujiandaa vema na Simba na unaweza kuwasaidia kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali