Yanga Princess mabingwa wa Samia Super Cup

TIMU ya Wanawake ya Yanga Princess imetwaa Kombe la Samia Women's Super Cup kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya JKT Queens kwenye fainali katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.

FAINALI

Magoli ya Yanga Princess yamefungwa na Aregash Kaisa, Jeannine Mukandayisenga aliyefunga mabao mawili,

MSHINDI WA TATU

Ni Simba Queens baada ya kuifunga Fountain Gate mabao 2-1 wafungaji wake ni Jentrix Shikangwa na Wincate Kaari wakati goli la Fountain Gate lilifungwa na Winnie Gwatenda