Wydad Casablanca yashikwa shati na Mwalimu wake

Nyota wa Tanzania Seleman Mwalimu akiwa na timu yake ya Wydad Casablanca wamepata alama moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Ittihad Tanger kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco