Mchambuzi wa soka hapa nchini Dominick Salamba amesema mchezaji Elie Mpanzu peke yake hawezi kuipa ubingwa Simba SC msimu huu
"Naona huko mitandaoni Mashabiki wa Simba wanaongea saana baada ya kumsajili 'Ellie Mpanzu', niwaambie tuu ukweli huyo Mpanzu hajaja kumaliza ukame wao wa Mataji na pia kwanza hawezi hata kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga SC useme labda umtoe Pacome au Max aingie yeye"
Dominick Salamba mwanachama wa Yanga (Mchambuzi wa masuala ya soka nchini Tanzania)
Eeeh mbona sasa kama imeshakua ni vita Binafsi tena?, ngoja tusubirie hiyo tarehe nane sasa